Historia ya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa Ufupi:2
Aslaam 'Alaykum wa Rahmatullah wa Barakatuh ndugu zangu katika Iymaan,kwanza naomba mnisamehe kwa kuwa nakaa kimya mda mrefu bila kuweka kitu chochote kwenye blog yetu,naam na leo In Sha Allah tuendelee na Historia ya Mtume wetu Muhammad(S.A.W).
Na leo tutangaanglia wake wa Mtume Muhammad kwa kile nilichoja'aliwa kukifahamu ndugu yenu.
Mtume Muhammad ndoa yake ya kwanza ilikuwa wakati yeye akiwa na miaka 25 na akamuoa mwanamke mmoja kati ya wale waliotabiriwa pepo Bi KHADIJA(R.A) na wakati huu bi Khadija alikuwa na miaka 40. Na hapa Bi Khadija ndiye aliyetokuwa wa kwanza kumwambia Mtume Muhammad kuwa anahitaji amuoe na hii ilitokana na sifa njema alizonazo na ufanyaji biashara wa Mtume Muhammad (S.A.W) ambao ulikuwa na faida kubwa sana ambayo haikuwa na Riba ndani yake pia ni kutokana na Bi Khadija kuwa Mjane.Na ninachkumbuka ni kuwa Mtume Muhammad alikuwa kijakazi na baadae akawa anamfanyia biashara Bi Khadija japo sina hakika sana Allah anajua zaidi.Hivyo basi ndoa yao ilikuja kuaacha huru watumwa wengi ikionesha ujio wa Nuru hapa Ulimwenguni.
Naam na kwa leo tuishie hapo tutaendelea siku nyingine na Historia na kama ilivo hada ALLAH anisamehe pale nilipokosea na azidi kunipa nguvu zaidi tuendelee kujuzana na kukumbushana kwa uwezo wa ALLAH In Sha ALLAH.
"FIKISHA YALIYOFIKIHSWA"
Wa azah Aslaam 'Alyakum wa Rahmatullah wa Barakatuh.

WAKE WENGINE WA MTUME MUHAMMAD(S.A.W)
- Aisha Binti Abu Bakar na Sidiq.
- Sawdah Binti Zama'a
- Ummu Habiba Binti Abu Sufyan
- Safiya Binti Akhtab
- Hafsa Binti Umar Ibin Hkattab.
- Ummu-salamah Binti Khuzaimah.
- Mayimunah.
- Zainab Binti Umais.
- Jawairiyah
- Khaulah Binti Hakeem.
- Zainab Binti Jahash.
WATOTO WA MTUME MUHAMMAD(S.A.W)
Je Mtume Muhammad alikuwa na Watoto wangapi?.Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na watoto saba(7) yaani wa kiume wa nne(3) na wakike wa (4)
Wakiume ni.....Al.Qaasim,Abdullah na Ibraahiym.
Wakike ni.......Zainab,Ruqayyah Ummu Kuluthum na Faatwimah.
Watoto wote alizaa na bi Khadija Binti Khuwaylid(R.A) isipokuwa mmoja ambae ni Ibraahyim aliyezaa na Maria Binti Qibtwiyah Allah anajua zaidi.
Mtume Muhammad hakuoa ila kwa Sababu mbali mbali ambazo ni kama zifuatazo.
- Sababu za Kielimu.
- Kuunga udugu(kukomesha chuki kati yake na makabila/wa sio waislaam)
- Kwa ajili ya kuwatunza watoto yatima.
- Kwa ajili ya kuwaacha huru wafungwa.
- Kwa ajili ya kuthibitisha amri mpya.
Naam na kwa leo tuishie hapo tutaendelea siku nyingine na Historia na kama ilivo hada ALLAH anisamehe pale nilipokosea na azidi kunipa nguvu zaidi tuendelee kujuzana na kukumbushana kwa uwezo wa ALLAH In Sha ALLAH.
"FIKISHA YALIYOFIKIHSWA"
Wa azah Aslaam 'Alyakum wa Rahmatullah wa Barakatuh.
Comments
Post a Comment