Histotia ya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa Ufupi :3.
Aslaam 'Alaykum wa Rahmatullah wa Barakatuh ndugu zangu katika Iymaan,nirudie tena kuomba samahan kwa watumiaji wa blog hii na kwa kuwa nachukua mda mrefu bila kupost taarifa kwa kuwa bado niko Chuo basi In Sha ALLAH tusameheane na Allah hatusamehe pia.Na kwa hakika kwa leo hii tutaendelea kujuzana Historiya ya Mtume wetu Muhammad sehem ya 3 kwa ufupi kwa kile nilichoja'aliwa kukijua.KAREEBUN.
SIFA ZA MTUME MUHAMMAD(S.A.W)
MUHAMMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU(ALLAH).
Muhammad alikuwa anatumia pango la Hira kutamalaki na kutafakari juu ya Muambile ya Dunia na vilivyomo ndani yake,alikuwa anaamini ni ALLAH na si Miungu iliyokuwepo ndiyo iliyoumba maumbile hayo.Alishushiwa Wahyi wa kwanza usiku wa Cheo(Laylatul Qadr) wakati akiwa kwenye pango la Hira huku akitafakari juu ya ulimwengu.Na Gibril ndiye aliyemteremshia Wahyi huo.
"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba, aliyekuumba Mwanadam kwa pande la Damu.Soma na Mollah wako ni Karim sana, amabae amefundisha (Binadam Elim zote hizi) wa Msaada wa kalam,Amemfunisha Mwanadami juu ya mambo ambayo hayajui"(Q.96: 1-5)
Nam na huu ndiyo Wahya wa kwanza alioteremshiwa Mtume Muhammad na Gibril kutola kwa ALLAH.
Baada ya kupokea Wahyi huu Mtume Muhammad alirudi Nyumban huku akitetemeka na Kumueleza Bi Khadija(R.A) kile kilichomtokea na Bi Khadija ndiye aliyempoza Mume wake kipenzi na kumwambia yeye ni Mja mwema na hivo hakuna kibaya kitakachotokea kwake.Pia kuanzia hapa Bi Khadija ndiye aliyekuwa wa kwanza Kusilimu. na ndipo Mtume Muhammad alipewa Rasmi Jukumu la Utume,na alipewa jukumu hili akiwa na Umri wa miaka(40)
N a baada ya mda Gibril alimtereshiya Wahyi mwingine kutoka kwa ALLAH(S.W) kuwa amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu waiopotea njia ya Haki.
Muhammad hapo ndipo alipoanza kulibeba jukum hili na kuanza kutangaza Dini ya ALLAH akihubiri kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja tu na kuwa Uislam ni kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu, na kuwa Ushirikina ni upotofu na kuwa siku ya Kiyama basi kila Mja atalipwa kwa yale aliyoyafanya alipokuwa kuwa Ulimwenguni,siku ambayo kila Mtu atalipwa Hesabu ya AMAL zake mbele ya Mollah wake.Uislam umekuja kutangaza kuwa Imaan bila ya A'amal haifai kitu.
"Sema;Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja tu.
Mwenyezi Mungu ndiye anaestahili kuabudiwa,kuombwa na kutegemewa.
Hakuzaa hauzaliwa.
Wala hakuna anayefanan nae hata mmoja."(Q.112:1-4)
Naamu na kwa uchache wa Mada leo tuishie hapa tukikutana tutaazna kuangalia ni vipi Mtume Muhammad alianza kutengaza Dini kwa Wapinzani.Kumbukeni pia mimi ni Binadam hivo sijakamilika na pale nilipokosea ALLAH(S.W) anisemeh na aniongoze zaidi na zaidi(ALLAHU ALAM) na nyie pia mnaopitia hii blog mnisamehe na mnikrekebshe kwa kutoa Comment zenu hapo chini.Tupo hapa kulingania DINI ya ALLAH.
"FIKISHA YALIYOFIKISHWA"
"Wa azah Aslaam 'Alaykum wa Rahmatullah wa Barakatuh"
SIFA ZA MTUME MUHAMMAD(S.A.W)
- Alikuwa mweye kusamehe kwa waliomkosea na Mrehemevu.
- Hakuwai kuabudu Masanamu wala kufanya Ushirikina.
- Alitumia pango la Hira, Mlima karibu na Makka kwa kutamalaki na kutafakari kuhusu jamii yake.
- Muhammad alikuwa akijulikana kwa tabia zake njeman na heshima.
- Watu walimwita (Al Amiin)yaani ni mwenye kuamini/muaminifu.
MUHAMMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU(ALLAH).
Muhammad alikuwa anatumia pango la Hira kutamalaki na kutafakari juu ya Muambile ya Dunia na vilivyomo ndani yake,alikuwa anaamini ni ALLAH na si Miungu iliyokuwepo ndiyo iliyoumba maumbile hayo.Alishushiwa Wahyi wa kwanza usiku wa Cheo(Laylatul Qadr) wakati akiwa kwenye pango la Hira huku akitafakari juu ya ulimwengu.Na Gibril ndiye aliyemteremshia Wahyi huo.
"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba, aliyekuumba Mwanadam kwa pande la Damu.Soma na Mollah wako ni Karim sana, amabae amefundisha (Binadam Elim zote hizi) wa Msaada wa kalam,Amemfunisha Mwanadami juu ya mambo ambayo hayajui"(Q.96: 1-5)
Nam na huu ndiyo Wahya wa kwanza alioteremshiwa Mtume Muhammad na Gibril kutola kwa ALLAH.
Baada ya kupokea Wahyi huu Mtume Muhammad alirudi Nyumban huku akitetemeka na Kumueleza Bi Khadija(R.A) kile kilichomtokea na Bi Khadija ndiye aliyempoza Mume wake kipenzi na kumwambia yeye ni Mja mwema na hivo hakuna kibaya kitakachotokea kwake.Pia kuanzia hapa Bi Khadija ndiye aliyekuwa wa kwanza Kusilimu. na ndipo Mtume Muhammad alipewa Rasmi Jukumu la Utume,na alipewa jukumu hili akiwa na Umri wa miaka(40)
N a baada ya mda Gibril alimtereshiya Wahyi mwingine kutoka kwa ALLAH(S.W) kuwa amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu waiopotea njia ya Haki.
Muhammad hapo ndipo alipoanza kulibeba jukum hili na kuanza kutangaza Dini ya ALLAH akihubiri kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja tu na kuwa Uislam ni kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu, na kuwa Ushirikina ni upotofu na kuwa siku ya Kiyama basi kila Mja atalipwa kwa yale aliyoyafanya alipokuwa kuwa Ulimwenguni,siku ambayo kila Mtu atalipwa Hesabu ya AMAL zake mbele ya Mollah wake.Uislam umekuja kutangaza kuwa Imaan bila ya A'amal haifai kitu.
"Sema;Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja tu.
Mwenyezi Mungu ndiye anaestahili kuabudiwa,kuombwa na kutegemewa.
Hakuzaa hauzaliwa.
Wala hakuna anayefanan nae hata mmoja."(Q.112:1-4)
Naamu na kwa uchache wa Mada leo tuishie hapa tukikutana tutaazna kuangalia ni vipi Mtume Muhammad alianza kutengaza Dini kwa Wapinzani.Kumbukeni pia mimi ni Binadam hivo sijakamilika na pale nilipokosea ALLAH(S.W) anisemeh na aniongoze zaidi na zaidi(ALLAHU ALAM) na nyie pia mnaopitia hii blog mnisamehe na mnikrekebshe kwa kutoa Comment zenu hapo chini.Tupo hapa kulingania DINI ya ALLAH.
"FIKISHA YALIYOFIKISHWA"
"Wa azah Aslaam 'Alaykum wa Rahmatullah wa Barakatuh"
Comments
Post a Comment