Mitume 25 iliyotajwa kwenye QUR'AN.

Aslaam Alaykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.ndugu zangu katika Imaan.Sote tunafaham kuwa kuna Mitume(Wajumbe wa ALLAH) mbali mbali ambao aliwateremsha hapa Duniani kwa lengo la kulingania Dini yake tukufu ya UISLAM na kuwaelekeza waja wake kwenye njia ilo sahihi yaani ilo nyoofu ili wapate faida hapa Duniani na kesho Akhera, Lakini je katika Qu'ran tukufu tunajuwa wangapi wametajwa kuanzia wa kwanza hadi mwisho?Basi leo kwa Idhin ya  ALLAH In Sha Allah tuwafahamu Wajumbe hao wa ALLAH.

1)Adam
2)Idris
3)Nuh
4)Saleh
5)Shuayb
6)Hud
7)Ibrahim
8)Lut
9)Ismail
10)Is-haq
11)Yaqub
12)Yusuph
13)Yunus
14)Mussa
15)Harun
16)Ayyub
17)Daud
18)Sulayman
19)Ilyas
20)Alyasa
21)Dhul-kifl
22)Zakaria
23)Yahya
24)Issa
25)Muhammad

"REHMA NA AMAAN ZIWE JUU YAO"
Tukutane siku nyingine kwenye Mada nyingine.
"FIKISHA YALIYOFIKISHWA"
Wa azah Aslaam Alaykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.







Comments

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

  2. 1. Aadam

    2. Idriys

    3. Nuwh

    4. Huwd

    5. Swaalih

    6. Ibraahiym

    7. Luutw

    8. Ismaa'iyl bin Ibraahiym

    9. Is-haaq bin Ibraahiym

    10. Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym

    11. Yuwsuf bin Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym

    12. Shu'ayb

    13. Ayyuwb

    14. Dhul Kifl

    15. Muwsaa

    16. Haaruwn nduguye Muwsaa

    17. Daawuwd

    18. Sulaymaan bin Daawuwd

    19. Ilyaas

    20. Alyasaa'

    21. Yuwnus

    22. Zakariyyaa

    23. Yahyaa bin Zakariyyaa

    24. 'Iysaa bin Maryam

    25. Muhammad

    (Swalla Allaahu 'alayhim wa sallam)

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Histotia ya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa Ufupi :6

Historia ya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa Ufupi:1