Mitume 25 iliyotajwa kwenye QUR'AN.
Aslaam Alaykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.ndugu zangu katika Imaan.Sote tunafaham kuwa kuna Mitume(Wajumbe wa ALLAH) mbali mbali ambao aliwateremsha hapa Duniani kwa lengo la kulingania Dini yake tukufu ya UISLAM na kuwaelekeza waja wake kwenye njia ilo sahihi yaani ilo nyoofu ili wapate faida hapa Duniani na kesho Akhera, Lakini je katika Qu'ran tukufu tunajuwa wangapi wametajwa kuanzia wa kwanza hadi mwisho?Basi leo kwa Idhin ya ALLAH In Sha Allah tuwafahamu Wajumbe hao wa ALLAH.
1)Adam
2)Idris
3)Nuh
4)Saleh
5)Shuayb
6)Hud
7)Ibrahim
8)Lut
9)Ismail
10)Is-haq
11)Yaqub
12)Yusuph
13)Yunus
14)Mussa
15)Harun
16)Ayyub
17)Daud
18)Sulayman
19)Ilyas
20)Alyasa
21)Dhul-kifl
22)Zakaria
23)Yahya
24)Issa
25)Muhammad
"REHMA NA AMAAN ZIWE JUU YAO"
Tukutane siku nyingine kwenye Mada nyingine.
"FIKISHA YALIYOFIKISHWA"
Wa azah Aslaam Alaykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.
1)Adam
2)Idris
3)Nuh
4)Saleh
5)Shuayb
6)Hud
7)Ibrahim
8)Lut
9)Ismail
10)Is-haq
11)Yaqub
12)Yusuph
13)Yunus
14)Mussa
15)Harun
16)Ayyub
17)Daud
18)Sulayman
19)Ilyas
20)Alyasa
21)Dhul-kifl
22)Zakaria
23)Yahya
24)Issa
25)Muhammad
"REHMA NA AMAAN ZIWE JUU YAO"
Tukutane siku nyingine kwenye Mada nyingine.
"FIKISHA YALIYOFIKISHWA"
Wa azah Aslaam Alaykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNyc bro Cary on
ReplyDeleteThanks Bhro.
ReplyDelete
ReplyDelete1. Aadam
2. Idriys
3. Nuwh
4. Huwd
5. Swaalih
6. Ibraahiym
7. Luutw
8. Ismaa'iyl bin Ibraahiym
9. Is-haaq bin Ibraahiym
10. Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
11. Yuwsuf bin Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
12. Shu'ayb
13. Ayyuwb
14. Dhul Kifl
15. Muwsaa
16. Haaruwn nduguye Muwsaa
17. Daawuwd
18. Sulaymaan bin Daawuwd
19. Ilyaas
20. Alyasaa'
21. Yuwnus
22. Zakariyyaa
23. Yahyaa bin Zakariyyaa
24. 'Iysaa bin Maryam
25. Muhammad
(Swalla Allaahu 'alayhim wa sallam)